Thomas Müller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muller kwenye kombe la dunia la 2014.

Thomas Müller (alizaliwa 13 Septemba 1989) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani. Anachezea FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani. Müller anaweza kucheza kama mshambuliaji au kiungo, Müller anajulikana kwa kazi yake nzuri uwanjani, nguvu kazi kubwa na stamina yake.

Kombe la Dunia 2014[hariri | hariri chanzo]

Müller alifunga mabao yake ya mawili yaliyoifanya Ujerumani ifuzu Kombe la Dunia mnamo 22 Machi, 2013 dhidi ya Kazakhstan.

Tarehe 16 Juni 2014, katika mechi ya ufunguzi ya Ujerumani, Müller alifunga bao la kwanza la mashindano na aliitwa kuwa man of the match katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Ureno kwenye hatua ya makundi.

Mnamo tarehe 8 Julai, alifunga bao la kwanza la Ujerumani katika nusu fainali dhidi ya Brazili, Ujerumani waliibuka na ushindi wa 7-1. Müller alifunga mabao manne katika mechi hiyo, Rekodi hiyo ikamfanya awe mchezaji wa tatu kufanya hivyo (baada ya Teofilo Cubillas na Miroslav Klose).

Muller aliisaidia Ujerumani kushinda kombe la dunia la mwaka 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Müller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.