Thierry Olemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thierry Olemba

Thierry Olemba (alizaliwa 13 Julai 1982 Douala) ni mwanamuziki wa nchini Kameruni. Muziki wake unajumuisha vipengele vya muziki wa Makossa, reggae na hip-hop na yeye anajulikana kwa kucheza mchezo wa boxing Pamoja na Bantu Pô Si, Koppo na Krotal,Olemba ni mmoja wa wasanii ambao wametengeneza mtindo wa rap kutoka Kamerun.[1]

Alijiunga na kundi la rap liitwalo New Black Power mwaka 1990 kama mwanachama mdogo kabisa na tangu wakati huo alishirikiana na wasanii wengine.[2]

Alisaini mkataba wa kufanya rekodi na kampuni ya Farwell Records mnamo 2007 na albamu yake ya kwanza ikafuata nyingine iliyoitwa The Human BeatBox. Single yake ya kwanza ni Ma Grand mere joue au Billard, maana yake "Bibi yangu anacheza kama Billard".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Simon Broughton; Mark Ellingham; Jon Lusk n.k., wahariri (2006). The Rough Guide to World Music: Africa & Middle East. Rough Guides. uk. 58. 
  2. http://africultures.com/personnes/?no=9122&utm_source=newsletter&utm_medium=email&utm_campaign=531
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thierry Olemba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.