Nenda kwa yaliyomo

The Walt Disney Company

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
alama ya kampuni

The Walt Disney Company (huitwa kwa kifupi: Disney) ni moja kati makampuni makubwa ya burudani na vyombo vya habari duniani.

Kampuni ilianzishwa mnamo mwaka wa 1923 na Walt Disney na ndugu yake, Roy Oliver Disney, kwa jina la Disney Brothers Cartoon Studio.[1]

Ilikuwa na jina la Walt Disney Productions kuanzia miaka ya 1930 na hadi mwanzoni mwa mwaka wa 1986.

Disney Enterprises Inc. ni kampuni tanzu ya Walt Disney; jina ambalo linapatikana katika bidhaa nyingi zilizopewa haki ya kuuza chini ya jina la Walt Disney, Walt Disney World Resort.

Vitengo vikuu vya kampuni ni Studio Entertainment, Vituo vya Maonyesho na Mahoteli, Mitandao ya Habari na Bidhaa za Zilizotayari Kununuliwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Roy Disney, nephew of Walt Disney, dies at 79". Iliwekwa mnamo 2009-12-16.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]