Nenda kwa yaliyomo

The Shannara Chronicles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Shannara Chronicles

The Shannara Chronicles ni mfululizo wa filamu za televisheni ya Marekani iliyoundwa na Alfred Gough na Miles Millar.

Ni kuhusu Upanga wa Shannara imeandikwa kama riwaya na Terry Brooks. Mfululizo ulifanyika kwenye studio za Auckland huko New Zealand.

Sehemu ya kwanza ya The Shannara Chronicles ilitengenezwa studio za MTV huko Marekani Januari 5, 2016 na ilikuwa na vipande 10. Kwa kutumia hizo Studio za MTV walitengeneza sehemu ya pili Aprili 2016; hata hivyo, mwezi Mei 2017, ilitangazwa kuwa mfululizo huo utahamia kwenye studio za Spike. Msimu wa pili ulianza mnamo Oktoba 11, 2017 na kumalizika Novemba 22, 2017. Mnamo Januari 16, 2018, ilitangazwa kuwa mfululizo huo ulifutwa baada ya misimu miwili.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Shannara Chronicles kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.