The Firm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
The Firm
Promo shot of The Firm in 1997, left to right: Nas, Foxy Brown and AZ
Promo shot of The Firm in 1997, left to right: Nas, Foxy Brown and AZ
Maelezo ya awali
Asili yake New York, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1996–1998
Studio Aftermath, Interscope
Ame/Wameshirikiana na Canibus, Dr. Dre, Half-A-Mill, L.E.S., Noreaga, Dawn Robinson, Trackmasters
Wanachama wa zamani
Cormega
Nas
Foxy Brown
AZ
Nature

The Firm lilikuwa kundi bab-kubwa la muziki wa hip hop ambalo limeanzishwa mjini New York City, Marekani mnamo 1996. Lilianzishwa na rapa Nas, meneja wake Steve Stoute, mtayarishaji Dr. Dre na kikosi kizima cha watayarishaji Trackmasters. Kundi linaunganisha na marapa wenye-chimbuko la marapa wa East Coast- Nas, Foxy Brown, AZ na Nature, ambaye amechukua nafasi ya Cormega baada ya kutolewa katika kundi.

Japokuwa kundi lilipokea matarajio mwanana ya mafanikio kutoka kwa washabiki wakati wa kusaini katika studio ya Dr. Dre, Aftermath, albamu ya kwanza ya The Firm, The Album (1997), imetengeneza mauzo ya kuvunja moyo na imepokea tathmini mbovu kabisa. Albamu yao ya kwanza ndiyo albamu pekee na baadaye kuvunjika mnamo mwaka wa 1998 ambamo kila mwanachama ameendelea kufanya shughuli za kujitegemea.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Studio albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Maelezo ya albamu Nafasi ya chati[1] Certifications
US CAN
1997 The Album 1 8 CAN: Gold[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The Album: Charts. Allmusic. Retrieved on 2009-02-22.
  2. CRIA Searchable Database. CRIA. Retrieved on 2009-02-22.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Firm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.