Nenda kwa yaliyomo

It Was Written

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
It Was Written
It Was Written Cover
Studio album ya Nas
Imetolewa 2 Julai 1996
Imerekodiwa 1995–1996
Aina Hip hop
Urefu 58:35
Lebo Columbia
CK 67015
Mtayarishaji DJ Premier, Dr. Dre, Havoc, L.E.S., Live Squad, MC Serch (watayarishaji wakuu) Trackmasters
Wendo wa albamu za Nas
Illmatic
(1994)
It Was Written
(1996)
I Am…
(1999)
Single za kutoka katika albamu ya It Was Written
  1. "If I Ruled the World (Imagine That)"
    Imetolewa: 28 Mei 1996
  2. "Street Dreams"
    Imetolewa: 22 Oktoba 1996
  3. "The Message"
    Imetolewa: 1996


It Was Written ni albamu ya pili ya rapa wa Marekani Nas. Albamu ilitolewa mnamo 2 Julai 1996 kupitia studio ya Columbia Records huko nchini Marekani. Kufuatia uwastani wa mafanikio ya kimauzo katika albamu yake ya kwanza, Illmatic (1994), Nas ameamua kujihusisha zaidi katika miondoko ile yenye mwelekeo wa kawaida. Hasa kwa kufanya kazi na Trackmasters, ambapo ni safari yake kutoka katika hali kutojulikana, toni zake akiwa kama msanii wa chini katika albamu yake ya kwanza - na kuja katika hali nyingine kabisa, msikiko wa kawaida kama wasanii wengine wakubwa. Albamu ina ladha ya mtindo wa mafioso na gangsta, jumlisha kuonekana kwake kwenye kundi bab-kubwa lililovuma kwa muda The Firm, ambalo liliunganishwa na marapa kama vile Foxy Brown, AZ, na Cormega.

Albamu imethibitisha kuwa ndiyo albamu ya Nas iliyopata mafanikio makubwa kwa kutolewa, kwa kuingia nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 na kuuza nakala milioni 3 dunia nzima. Pia imepigisha mbiu kwa kuleta umaarufu mtindo anaotumia Nas, licha kukata rufaa kwake kwa kuzuiwa kimafanikio na albamu ziingine za mafiaso rap kama vile Only Built 4 Cuban Linx… (1995) na Reasonable Doubt (1996). Hata hivyo, mabadiliko yake ya kistaili na kuongezeka kwa mafanikio na umaarufu wake imepelekea uvumi wa kwamba anatoa kitu kidogo kwa wanajumuia ya hip hop. It Was Written nayo ilipokea tahakiki mchanganyiko kutoka kwa watahakiki kadhaa kwa kutofikia uwastani wa Illmatic.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina Urefu Watunzi Watayarishaji Waimbaji Sampuli[1]
1 "Album Intro" 2:24 N. Jones Nas & Trackmasters Nas & AZ (kauza sura)
  • Inasampuli kutoka katika "A Change Is Gonna Come" by Sam Cooke
  • Ina sampuli kutoka katika "The Sly, the Slick, and the Wicked" by The Lost Generation
2 "The Message" 3:54 N. Jones, S. Barnes Trackmasters Nas
  • Ina sampuli kutoka katika "Shape of My Heart" wa Sting
  • Ina sampuli kutoka katika "Woman" by Neneh Cherry
  • Ina sampuli kutoka katika "NY State Of Mind" wa Nas
  • Ina sampuli kutoka katika "Impeach the President" wa The Honey Drippers
3 "Street Dreams" 4:40 N. Jones, S. Barnes, A. Lennox, D. Stewart Trackmasters Nas
4 "I Gave You Power" 3:52 N. Jones, C. Martin DJ Premier Nas
  • Ina sampuli kutoka katika "Theme Bahamas" by Ahmad Jamal
5 "Watch Dem Niggas" 4:04 N. Jones, S. Barnes Trackmasters Nas na Foxy Brown
6 "Take It in Blood" 4:48 N. Jones, R. Walker, C. Horne, J. Pruit, J. Epps, W. Childs Live Squad, Lo Ground & Top General Sounds Nas
  • Ina sampuli kutoka katika "Ease Back" wa Ultramagnetic MCs
  • Ina sampuli kutoka katika "Mixed Up Moods & Attitudes" wa The Fantastic Four
7 "Nas Is Coming" 5:41 N. Jones, A. Young Dr. Dre Nas & Dr. Dre
  • Ina sampuli kutoka katika "Synopsis Two: Mother's Day " wa 24 Carat Black
8 "Affirmative Action" 4:19 N. Jones, I. Marchand, C. McKay, A. Cruz, S. Barnes, J.C. Olivier Dave Atkinson, Trackmasters Nas, AZ, Cormega, Foxy Brown, (The Firm)
  • Ina sampuli kutoka katika "Hard to Handle" by Etta James
9 "The Set Up" 4:01 N. Jones, K. Muchita Havoc Nas na Havoc
10 "Black Girl Lost" 4:23 N. Jones, L. Lewis, J. Mtume, Lucas L.E.S., Trackmasters Nas na Joel "Jo-Jo" Hailey
11 "Suspect" 4:12 N. Jones, L. Lewis L.E.S. Nas
12 "Shootouts" 3:46 N. Jones, S. Barnes, J.C. Olivier Trackmasters Nas
  • Ina sampuli kutoka katika "I Wish You Were Here" wa Al Green
  • Ina sampuli kutoka katika "Theme from 'The Avengers'" wa Laurie Johnson
13 "Live Nigga Rap" 3:45 N. Jones, K. Muchita Havoc Nas & Mobb Deep
14 "If I Ruled the World (Imagine That)" 4:42 N. Jones, S. Barnes, J.C. Olivier, K. Walker Trackmasters & Rashad Smith Nas & Lauryn Hill
  • Ina sampuli kutoka katika "Friends" y Whodini
  • Imetiwa maneno yaliyomo kwenye "If I Ruled the World" by Kurtis Blow
  • Imetiwa maneno yaliyomo kwenye "Walk Right Up to the Sun" by The Delfonics
*15 "Silent Murder"
(Japanese, European CD Versions & US Cassette Tape Version Bonus Track)
3:24 N. Jones, M. H. Browne, B. T. Romeo Live Squad, Lo Ground na Top General Sounds Nas
*16 "Affirmative Action St-Denis-Style Remix"
(European CD Reedition Bonus Track)
4:04 N. Jones, I. Marchand, A. Cruz, S. Barnes, J.C. Olivier Dave Atkinson, Trackmasters, Adapted wa Joey Starr na Kool Shen (NTM) Nas, AZ, Foxy Brown & NTM (Joey Starr na Kool Shen)

Historia ya chati

[hariri | hariri chanzo]

Nafasi za chati

[hariri | hariri chanzo]

Albamu
Chati (1996) Nafasi
iliyoshika[2]
U.S. Billboard 200 1
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums 1
UK Albums Chart 38

Single
Mwaka Single Nafasi zilizoshika[3]
Billboard Hot 100 Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks Hot Rap Tracks UK Singles Chart
1996 "If I Ruled The World" 53 17 15 12
"Street Dreams" 22 18 1 12

  1. Track listing and credits as per liner notes for It Was Written album
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named billboard
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named singles
  • John Borgmeyer, Holly Lang (2006). Dr. Dre: A Biography. Edition: illustrated. Greenwood Publishing Group. ISBN 0-313-33826-4.
  • Jake Brown (2006). Dr. Dre in the Studio. Edition: illustrated. Amber Books Publishing. ISBN 0-976-77355-4.
  • Mickey Hess (2007). Ego Trip's Book of Rap Lists. Greenwood Press. ISBN 0-31333-902-3.
  • Mickey Hess (2007). Icons of Hip Hop: An Encyclopedia of the Movement, Music, and Culture. Edition: illustrated. Greenwood Publishing Group. ISBN 0-313-33904-X.
  • Todd Boyd (2004). The New H.N.I.C.: The Death of Civil Rights and the Reign of Hip Hop. NYU Press. ISBN 0-814-79896-9.
  • Nathan Brackett, Christian Hoard (2004). The New Rolling Stone Album Guide: Completely Revised and Updated 4th Edition. Simon and Schuster. ISBN 0-74320-169-8.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]