Illmatic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Illmatic
Illmatic Cover
Studio album ya Nas
Imetolewa 19 Aprili 1994
Imerekodiwa 1992–1993
Battery Studios, Unique Studios, Chung King Studios, D&D Recording
(New York City, New York)
Aina Hip hop
Urefu 39:43
Lebo Columbia
CK 57684
Mtayarishaji DJ Premier, Large Professor, L.E.S., MC Serch (Watayarishaji Watendaji), Nas, Q-Tip, Pete Rock
Wendo wa albamu za Nas
It Was Written
(1996)
Single za kutoka katika albamu ya Illmatic
  1. "Halftime"
    Imetolewa: 13 Oktoba 1992
  2. "It Ain't Hard to Tell"
    Imetolewa: 18 Januari 1994
  3. "The World Is Yours"
    Imetolewa: 31 Mei 1994
  4. "Life's a Bitch"
    Imetolewa: 19 Aprili 1994
  5. "One Love"
    Imetolewa: 25 Oktoba 1994

Illmatic ni jina albamu ya kwanza ya rapa wa Kimarekani Nas. Albamu ilitolewa mnamo tar. 19 Aprili 1994, kupitia studio za Columbia Records. Kufuatia kwake kuingia mkataba na Columbia kwa msaada wa MC Serch, kipindi cha kurekodi albamu hii kimechukua nafasi baina ya mwaka wa 1992 hadi 1993 katika studio za Chung King Studios, D&D Recording, Battery Studios, na Unique Recording Studios huko mjini New York City. Utayarishaji wake ulishughulikiwa na Nas, Large Professor, Pete Rock, Q-Tip, L.E.S., na DJ Premier. Staili na albamu ya kigumu ya hip hop, Illmatic inakashda za Nas za kuingiza silabi ndani ya vina vinavyoelezea maudhui na hali ya mahali anapotoka huko mjini Queensbridge, New York.

Juu ya kutolewa kwake, albamu ilishika nafasi ya 12 katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani, na kuuza nakala 59,000 katika wiki yake ya kwanza. Hata hivyo, mauzo yake ya awali yameanguka vibaya mno na kwenda kinyume na matarajio na single zake zote tano zimeshindwa kupata mafanikio ya haja katika chati. Wakati inapitia hali ya awali ya mauzo ya chini, Illmatic imepokea tahakiki halisi kutoka kwa watahakiki kadha wa kadha wa muziki juu ya kutolewa kwake na kupokea sifa kemkem kwa mashairi yaliyomo, utayarishaji, na staili ya mashairi ya Nas. Mnamo tar. 17 Januari 1996, albamu imetunukiwa dhahabu na Recording Industry Association of America, na mwaka wa 2001, imepokea platinum baada ya mauzo yake ya nakala milioni nje ya Marekani.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# Jina Waimbaji Watayarishaji Sampuli[1] Imerekodiwa Urefu
1 "The Genesis" 1993 1:45
2 "N.Y. State of Mind"
  • Nas
DJ Premier 1992 4:54
3 "Life's a Bitch"
  • Mstari wa kwanza/kiitikio: AZ
  • Mstari wa pili: Nas
L.E.S., Nas 1993 3:30
4 "The World Is Yours" Pete Rock 1992 4:50
5 "Halftime"
  • Nas
Large Professor
  • "Dead End" kutoka kwa Hair kibwagizo halisi cha washiriki wa Kijapani
  • "Soul Travelin'" by Gary Byrd
  • "School Boy Crush" wa Average White Band
1992 4:20
6 "Memory Lane (Sittin' in da Park)"
  • Nas
DJ Premier 1992 4:08
7 "One Love"
  • Mistari: Nas
  • Kiitikio: Q-Tip
Q-Tip 1992 5:25
8 "One Time 4 Your Mind"
  • Nas
Large Professor 1992 3:18
9 "Represent"
  • Nas
DJ Premier 1993 4:12
10 "It Ain't Hard to Tell"
  • Nas
Large Professor 1992 3:22

Nafasi ya chati[hariri | hariri chanzo]

  • Album
Chati (1994)[2] Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard 200 12
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums 2
  • Single
Mwaka Single Nafasi ilizoshika[3]
Billboard Hot 100 Hot R&B Singles Hot Rap Tracks Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales
1993 "Halftime" 8
1994 "It Ain't Hard to Tell" 91 57 13 3
"The World Is Yours" 114 67 27 6
"Life's a Bitch"
"One Love" 106 24 6
"—" denotes a release that did not chart.

| width="50%" align="left" valign="top" |

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. TheBreaks.com album samples Archived 29 Mei 2006 at the Wayback Machine.. TheBreaks.com. Retrieved on 2007-01-20.
  2. [Illmatic katika Allmusic allmusic ((( Illmatic > Charts & Awards > Billboard Albums )))]. All Media Guide, LLC. Retrieved on 2007-01-20.
  3. [Illmatic katika Allmusic allmusic ((( Illmatic > Charts & Awards > Billboard Singles )))]. All Media Guide, LLC. Retrieved on 2007-01-20.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]