Tendaness
Mandhari
Tatenda Mandaza (alizaliwa mnamo tarehe 10 Septemba 1992), anajulikana Kitaalamu Kama Tendaness.Ni mzaliwa wa Eswatini, mtayarishaji wa rekodi, DJ na Mtunzi wa nyimbo.
Maisha ya Awali na Kazi
[hariri | hariri chanzo]Tatenda Mandaza alizaliwa Mbabane, mji mkuu wa Eswatini.Mama yake ni Mswati na baba yake ni Mzimbabwe.Alianza Kazi yake ya uimbaji mnamo mwaka 2007 - 2008 katika chumba chake cha kulala[1]
baada ya kupendezwa na Sanaa kutoka kwa rafiki yake wa shule ya upili.[2] Alipata jina lake la kisanii 'Tendaness' kutoka Kwan rafiki yake ambaye alimfundisha jinsi ya kutumia turntables mnamo mwaka 2008.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "eSwatini: MTN SWAMA Awards announces nominees". Music In Africa (kwa Kiingereza). 2018-07-04. Iliwekwa mnamo 2019-03-12.
- ↑ "Tender Hands of the Decks". Times of Swaziland. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-17. Iliwekwa mnamo 19 Desemba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tender Hands of The Decks". Times of Swaziland. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-17. Iliwekwa mnamo 19 Desemba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)