Tatata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tatata
Tatata mbavu-nyeupe
Tatata mbavu-nyeupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Corvoidea (Ndege kama kunguru)
Familia: Platysteiridae (Ndege walio na mnasaba na bwiru)
Jenasi: Batis
Boie, 1833
Spishi: Angalia katiba.

Tatata ni ndege wadogo wa jenasi Batis katika familia Platysteiridae wanaotokea Afrika chini ya Sahara. Zamani waliainishwa katika familia Muscicapidae. Takriban spishi zote zina kinyago cheusi, utosi kijivu, mgongo kijivu au mweusi, tumbo jeupe na kidari chenye mlia mweusi au kahawiachekundu. Dume ana nyeusi zaidi na jike ana nyekundu zaidi. Hula wadudu na hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe katika mti au kichaka. Jike huyataga mayai 1-4.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]