Tarakilishi mpakato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
tarakalishi mpakato
Vipakatalishi

Kipakatalishi (laptop), ni tarakilishi ndogo ambayo ni rahisi kubebeka. Watumiaji hupendelea kusafiri nazo, hususan wafanyabiashara.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Kipakatalishi cha kwanza kilivumbuliwa na Mwingereza mbunifu Bill Moggridge mwaka 1979. Shirika la mifumo ya GRiD lilimsaidia kuongeza ubunifu wake kwa kuweka bawaba. Mnamo mwaka 1982, vipakatalishi ziliuzwa sana kwa jeshi la Marekani.

Kando na vipakatalishi, kuna tarakilishi nyingine ndogo kama vile bapalishi ambayo kwa kiingereza ni “tablet”.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]