Majadiliano:Tarakilishi mpakato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Je, tunaweza badilisha jina la ukurasa huu hadi "Kipakatalishi"? Maanake nahisi tukisema "Tarakilishi mpakato" ni kama tunajaribu sana kutafsiri maneno "computer" na "lap" hadi kiswahili.

Mifano katika matumizi:

Luckimg2 (majadiliano) 12:57, 17 Julai 2017 (UTC)