Tanganyika (maana)
Mandhari
Tanganyika inaweza kumaanisha
- Tanganyika (nchi) ni jina la kihistoria kwa ajili ya Tanzania bara pamoja na visiwa vya Mafia na Kilwa.
- Wilaya ya Tanganyika iliyopo katika Mkoa wa Katavi, Tanzania (zamani iliitwa Wilaya ya Mpanda Vijijini)
- Tanganyika, Kongo ni jina la wilaya ya Tanganyika katika Mkoa wa Katanga wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ufukoni mwa Ziwa la Tanganyika.
- Tanganyika (Muheza) ni kata ya Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, Tanzania.