Sukuma
Mandhari
Sukuma inaweza kumaanisha
- Wasukuma, kabila kubwa zaidi nchini Tanzania
- Kisukuma, lugha yao
- Sukuma (Magu), kata katika Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza, Tanzania
- Sukuma (Maswa), kata ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, Tanzania
- Sukuma, kifupi cha sukumawiki kilicho kawaida nchini Kenya