Hua
Mandhari
(Elekezwa kutoka Spilopelia)
Hua | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Hua kijivucheusi (Streptopelia lugens)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 6:
|
Hua ni ndege wa jenasi mbalimbali wa nusufamilia Columbinae katika familia Columbidae. Spishi nyingine huitwa tetere, kuyu au fumvu. Wana rangi kijivu, kahawia na nyupe na spishi nyingi zina rangi pinki. Jenasi ya Streptopelia inatoka Afrika lakini spishi kadhaa zimeingia Ulaya na Asia. Hua mkufu wa Ulaya na hua madoa (Spotted Dove) wamewasilishwa katika Marekani. Hua hula mbegu, matunda, mimea na pengine wadudu. Hulijenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba au ardhini kati ya manyasi. Jike huyataga mayai mawili kwa kawaida.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Nesoenas duboisi, Hua wa Reunion (Réunion Pink Pigeon) - imekwisha sasa (k.y. 1700)
- Nesoenas mayeri, Hua wa Morisi (Pink Pigeon)
- Nesoenas picturatus, Hua wa Madagaska (Malagasy Turtle Dove)
- Nesoenas rodericanus, Hua wa Rodriges (Rodrigues Pigeon au Rodrigues Dove) imekwisha sasa (kati ya karne ya 18)
- Spilopelia senegalensis, Fumvu (Laughing Dove)
- Streptopelia capicola, Tetere Macho-meusi, Hua Koge au Hakimkulu (Ring-necked Dove)
- Streptopelia decaocto, Hua Mkufu wa Ulaya (Eurasian Collared Dove)
- Streptopelia decipiens, Kuyu (Mourning Collared au African Mourning Dove)
- Streptopelia hypopyrrha, Hua wa Adamawa (Adamawa Turtle Dove)
- Streptopelia lugens, Hua Kijivucheusi (Dusky Turtle Dove)
- Streptopelia reichenowi, Hua Mabawa-meupe (White-winged Collared Dove)
- Streptopelia risoria, Hua wa Barbari (Barbary Dove) - inafugwa tu (umma chache za kimwitu huko Marekani; hulka za uainisho wake ina shaka)
- Streptopelia roseogrisea, Hua Mkufu wa Afrika (African Collared Dove)
- Streptopelia semitorquata, Tetere macho-mekundu (Red-eyed Dove)
- Streptopelia turtur, Hua wa Ulaya (European Turtle Dove)
- Streptopelia vinacea, Tetere rangi-pinki (Vinaceous Dove)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Macropygia amboinensis (Amboyna Cuckoo-dove)
- Macropygia cinnamomea (Enggano Cuckoo-dove)
- Macropygia doreya (Sultan's Cuckoo-dove)
- Macropygia emiliana (Ruddy Cuckoo-dove)
- Macropygia macassariensis (Flores Sea Cuckoo-dove)
- Macropygia mackinlayi (Mackinlay's Cuckoo-dove)
- Macropygia magna (Timor Cuckoo-dove)
- Macropygia modiglianii (Barusan Cuckoo-dove)
- Macropygia nigrirostris (Bar-tailed Cuckoo-dove)
- Macropygia phasianella (Brown Cuckoo-dove)
- Macropygia ruficeps Little Cuckoo-dove)
- Macropygia rufipennis (Andaman Cuckoo-dove)
- Macropygia tenuirostris (Philippine Cuckoo-dove)
- Macropygia timorlaoensis (Tanimbar Cuckoo-dove)
- Macropygia unchall (Barred Cuckoo-dove)
- Reinwardtoena browni (Pied Cuckoo-dove)
- Reinwardtoena crassirostris (Crested Cuckoo-dove)
- Reinwardtoena reinwardti (Great Cuckoo-dove)
- Spilopelia chinensis (Spotted Dove)
- Streptopelia bitorquata (Island Collared Dove)
- Streptopelia orientalis (Oriental Turtle Dove)
- Streptopelia tranquebarica (Red Collared Dove)
- Turacoena manadensis (White-faced Dove)
- Turacoena modesta (Black Dove)
- Turacoena sulaensis (Sula Cuckoo-dove)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Hua wa Morisi
-
Hua wa Madagaska
-
Fumvu
-
Tetere macho-meusi
-
Hua mkufu wa Ulaya
-
Kuyu
-
Hua wa Adamawa
-
Hua wa Barbari
-
Hua mkufu wa Afrika
-
Tetere macho-mekundu
-
Hua wa Ulaya
-
Hua rangi-pinki
-
Amboyna cuckoo-dove
-
Ruddy cuckoo-dove
-
MacKinlay's cuckoo-dove
-
Brown cuckoo-dove
-
Little cuckoo-dove
-
Andaman cuckoo-dove
-
Philippine cuckoo-dove
-
Barred cuckoo-dove
-
Spotted dove
-
Island collared dove
-
Oriental turtle dove
-
Red collared dove
-
White-faced dove