Skrini nzima
Mandhari
Katika utarakilishi, skrini nzima (kwa Kiingereza: full screen au fullscreen) ni uonyesho unaoenea katika skrini yote cha tarakilishi kwa kufunika kiolesura michoro cha mtumiaji cha mfumo wa uendeshaji.
Watu wanatumia kiwambo kizima ili kutazama filamu au video kwenye mtandao.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |