Mfumo wa uendeshaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ubuntu 19.04 ulio mfumo wa uendeshaji.

Katika utarakilishi, mfumo wa uendeshaji (kifupi: MU; kwa Kiingereza : "Operating system") ni programu ya mfumo unaodhibiti vifaa, programu tete, rasilimali ya tarakilishi na unaotoa huduma kwa programu ya tarakilishi.

Kwa mfano, Ubuntu, Windows, Mac OS au Linux ni mifumo ya uendeshaji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.