Programu ya mfumo

Programu ya mfumo inayoitwa Debian.
Katika utarakilishi, programu ya mfumo (kwa Kiingereza : "system software") ni programu inayotoa jukwaa ili programu nyingine ifanye kazi.
Kwa mfano, Ubuntu, Windows, Mac OS au Linux ni programu ya mfumo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.