Programu tete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Programu tete (kwa Kiingereza: software) ni mkusanyo wa maelezo yasiyo tendaji yaliyotunzwa katika kumbukumbu ya tarakilishi ili kuweza kuchakata takwimu fulani pindi itakapohitajika kufanya hivyo.

Mfano wa programu tete ni Mifumo tendaji (Os) na Kamusi Kuu ya Kiswahili.

Programu tete ni kinyume cha vifaa.

Pia kuna nakala ngumu ambazo huzalishwa na vifaa vya TEHAMA kama vile Mashine za kunakili maandishi (Photocopy Machine) nakala hizo hutokana na nakala tete (Softcopy) ambazo aghalabu huundwa au hutunzwa kwenye tarakilishi