Uonyesho

Uonyesho wa saa ya tarakimu
Katika utarakilishi, uonyesho (kwa Kiingereza: display device) ni kiwambo kinachotumika ili kuonyesha taarifa fulani. Kwa mfano, saa, televisheni na monita zina uonyesho.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).