Sikou Niakaté

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sikou Niakaté (alizaliwa 10 Julai 1999) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Mali mwenye asili ya Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ufaransa Valenciennes, kwa mkopo kutoka katika klabu ya En Avant de Guingamp.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Niakaté aliitwa katika klabu ya mpira wa miguu chini ya miaka 18 mnamo Desemba 2015, akiwa mchezaji wa kwanza katika historia ya klabu ya Évreux FC 27 kufanya hivyo.

Niakaté aliitwa kwenye timu ya taifa ya Mali katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2018 dhidi ya Gabon.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sikou Niakaté kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.