Nenda kwa yaliyomo

Sierra Nevada, Hispania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuhusu milima nchini Marekani angalia hapa Sierra Nevada

Milima ya Sierra Nevada kwa mbali

Sierra Nevada (Kihispania kwa "milima ya theluji") ni safu ya milima katika mkoa wa Andalusia nchini Hispania. Mlima wake mkubwa ni pia mlima mkubwa kabisa wa Hispania ambao ni Mulhacén wenye kimo cha mita 3,479 juu ya u.b.

Ni kivutio maarufu cha watalii. Milima mirefu inawezesha kucheza skii hivyo kuna utalii wa skii wa kusini zaidi kwenye bara la Ulaya ukiwa karibu na bahari ya Mediteranea.

Miguuni pa milima kuna miji ya Granada na, kwa umbali kidogo, Málaga na Almeria.

Tovuti za Nje

[hariri | hariri chanzo]
  • "Sierra Nevada, Spain". NASA Earth Observatory. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-01. Iliwekwa mnamo 2006-04-28. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20061001040747/http://earthobservatory.nasa.gov/Newsroom/NewImages/images.php3?img_id= ignored (help)
  • Francisco Pérez Raya, Joaquín Molero Mesa, Francisco Valle Tendero, 1992: "Parque Natural de Sierra Nevada. Paisaje, wanyama, mimea, Itinerarios". Ed. Rueda. Madrid.   (in Spanish)
  • "Flora de la Tundra de Sierra Nevada". Pablo Prieto Fernández, Ed. Universidad de Granada.   (in Spanish)
  • "Sierra Nevada: Guía de Montaña". Aurelio del Castillo y Antonio del Castillo. Ed. Penibética, 2003.   (in Spanish)
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sierra Nevada, Hispania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.