Malaga
Jump to navigation
Jump to search
Malaga ni manispaa, mji mkuu wa wilaya ya Malaga, katika Jumuiya ya kujitegemea ya Andalusia, Hispania.
Ulikuwa na idadi ya watu 569,130 mwaka 2015, hivyo ni jiji la pili lenye watu wengi Andalusia na la sita kwa ukubwa nchini Hispania. Pia ni Jiji kubwa kati ya majiji yaliyopo kusini kabisa mwa Ulaya, liko Costa del Sol (Pwani ya Sun) ya Mediteranea, kilomita 100(maili 62.14) mashariki kwa Mlangobahari wa Gibraltar na kilomita 130 (maili 80.78) kaskazini kwa Afrika.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Angalia mengine kuhusu Málaga kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
![]() |
picha na media kutoka Commons |
![]() |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity |
![]() |
nukuu kutoka Wikiquote |
![]() |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Malaga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |