Shoka la Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shoka lilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Shoka la Warangi ni aina ya kifaa ambacho hutengenezwa kwa chuma na mpini wa mti. Kwa Kirangi huitwa "chaárya" kwa jumla, na “siraanga” kama ni maalum. Shoka hili hutumika kwa kuangushia miti, kuchanja kuni, kupasulia magogo au kuchongea mizinga.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na tamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shoka la Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.