Kibuyu kidogo cha Warangi
Mandhari
Kibuyu kidogo cha Warangi ni aina ya kibuyu chenye shingo. Kwa Kirangi huitwa "mʉʉmbʉ". Kibuyu hicho kilitumika kuwekea dawa, maziwa, pombe na kadhalika. Kilitumika vilevile kwa mambo ya jadi.[1][2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Carney, Judith (2019). "Food and the African Past". In the Shadow of Slavery. University of California Press. ku. 6–26. doi:10.1525/9780520949539-004. ISBN 978-0-520-94953-9. S2CID 243438207.
- ↑ "Nigeria bikers' vegetable helmets", 6 January 2009.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi | |
---|---|
bangili – baragumu – chombo cha kukamulia – chombo cha tumbaku – chungu – jembe - kibuyu kidogo – kibuyu kikubwa – kihori – kinu – kipekecho - kirindo – kisu – ngoma – sagio – sanduku– shikilio – shoka – tungu – upawa
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibuyu kidogo cha Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |