Chombo cha tumbaku cha Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chombo cha kuwekea tumbaku kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Chombo cha kuwekea tumbaku cha Warangi ni kwa ajili ya tumbaku iliyosagwa. Kwa Kirangi huitwa "súse". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa kutokana na pembe za ng’ombe. Kilitumiwa hasa na watu maarufu kama viongozi au wazee. Tumbaku hiyo hunuswa au kulambwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chombo cha tumbaku cha Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.