Ngoma ya Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ngoma ya Warangi ilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Ngoma ya Warangi ni aina ya ngoma iliyowambwa ngozi ya mnyama wa porini hasa dikidiki. Kwa Kirangi huitwa "ntangasa". Ngoma hiyo hutumika wakati wa sherehe kama harusi na kadhalika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa