Baragumu ya Warangi
Mandhari
Baragumu ya Warangi ni aina ya upembe wa mnyama uliokatwa pande zote, ndiyo baragumu au mbiu inayotumiwa katika utamaduni ya Warangi. Kwa Kirangi huitwa "irimʉ". Baragumu hutumika kwa kutoa habari fulani ya hatari, kifo au kusanyiko na hata tukio fulani maalumu.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tarr, Edward H. (2014-01-31), "Trumpet", Oxford Music Online, Oxford University Press, ISBN 978-1-56159-263-0, iliwekwa mnamo 2023-06-27
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi | |
---|---|
bangili – baragumu – chombo cha kukamulia – chombo cha tumbaku – chungu – jembe - kibuyu kidogo – kibuyu kikubwa – kihori – kinu – kipekecho - kirindo – kisu – ngoma – sagio – sanduku– shikilio – shoka – tungu – upawa
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baragumu ya Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |