Sanduku la Warangi
Mandhari
Sanduku la Warangi ni aina ya kibuyu kikubwa kilichokatwa mdomo mkubwa. Kwa Kirangi huitwa iduunde. Kibuyu hicho kilitumika kwa kuwekea dawa hasa zilizotumika wakati wa kutengeneza vyuma na kadhalika. Pia liliwekea vifaa vidogovidogo vya nyumbani kama masanduku ya kisasa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi | |
---|---|
bangili – baragumu – chombo cha kukamulia – chombo cha tumbaku – chungu – jembe - kibuyu kidogo – kibuyu kikubwa – kihori – kinu – kipekecho - kirindo – kisu – ngoma – sagio – sanduku– shikilio – shoka – tungu – upawa
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sanduku la Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |