Nenda kwa yaliyomo

Kirindo cha Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kirindo au ghala ya nafaka ilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Kirindo cha Warangi ni aina ya ghala ya nafaka. Kwa Kirangi huitwa "kɨome". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa na magome ya miti, na kilitumika hasa kuhifadhi nafaka na mazao mengineyo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa