Nenda kwa yaliyomo

Tungu la Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tungu lilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Tungu la Warangi ni aina ya kibuyu cha wastani. Kilitumika kwa kuchekechea maziwa yaliyoganda ili kutenganisha maziwa mgando (yaani mtindi) na samli (mafuta yanayotokana na maziwa ya wanyama). Kilichaguliwa kibuyu kizuri kisicho na alama yoyote. Kwa Kirangi huitwa "baai".

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tungu la Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.