Nenda kwa yaliyomo

Saturnin Pandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saturnin Pandi, (19321996) alikuwa msanii wa muziki wa soukous na mchezaji wa konga, huko Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).[1]

Alikuwa moja wa washiriki waanzilishi wa bendi ya soukous TPOK Jazz, iliyoanzishwa mwaka 1956, iliyoongozwa na François Luambo Makiadi, ambayo ilitawala sana tasnia ya muziki wa Kongo kuanzia miaka ya 1950 hadi 1980. Pia alikuwa mwanachama wa bendi ya Bantous de la Capitale, iliyoanzishwa, huko Brazzaville mnamo 1959, ikiongozwa na Jean Serge Essous [2]


  1. "Ben Saturnin PANDI - Univers Rumba Congolaise". https://www.universrumbacongolaise.com/ (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. {{cite web}}: External link in |work= (help)
  2. "Saturnin Pandi Was A Member of TPOK Jazz And Bantous de la Capitale". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-26. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saturnin Pandi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.