Sanjaranda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Sanjaranda
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Manyoni
Idadi ya wakazi
 - 8,828

Sanjaranda ni jina la kata ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,828 waishio humo.[1]

Makabila[hariri | hariri chanzo]

Katika kijiji cha Sanjaranda kuna makabila makuu mawili ambayo ni Wataturu na Wanyaturu. Wenyeji haswa wa kijiji cha Sanjaranda ni Wataturu. Kabila hili ni jamii ya wafugaji, kabila hili ni moja ya makabila ambayo si ya kibantu na historia inasema watu hawa ni wahamiaji ambao walitokea Sudani miaka mingi iliyopita.

Kijiji cha Sanjaranda kina mitaa au vitongoji vitano ambavyo ni Utaturuni, Samaria, Pepeani, Majengo na Chang'ombe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sanjaranda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Aghondi | Chikola | Chikuyu | Heka | Idodyandole | Ipande | Isseke | Itigi | Itigi Majengo | Kintinku | Kitaraka | Majiri | Ipande | Makuru | Makutopora | Manyoni | Mgandu | Mitundu | Mkwese | Muhalala | Mvumi | Mwamagembe | Nkonko | Rungwa | Sanjaranda | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya