Robert Drinan
Mandhari
Robert Frederick Drinan, S.J. (15 Novemba 1920 – 28 Januari 2007) alikuwa kasisi wa Shirika la Yesu, mwanasheria, mtetezi wa haki za binadamu, na Mwakilishi wa chama cha Democratic kutoka Massachusetts, Marekani.
Drinan aliacha wadhifa wake wa kisiasa kufuata agizo la Papa Yohane Paulo II lililopiga marufuku shughuli za kisiasa kwa makasisi.
Kwa miaka 26 ya mwisho ya maisha yake, pia aliwahi kuwa profesa wa sheria katika Kituo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Georgetown.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mark Feeney (Januari 29, 2007). "Congressman-priest Drinan dies". The Boston Globe. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 12, 2008.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |