Raphaël Guerreiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Raphaël Guerreiro, 2018

Raphaël Adelino José Guerreiro (alizaliwa 22 Desemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Ureno.

Alizaliwa nchini Ufaransa, alianza kazi yake Caen, akiwa mnamo mwaka 2013 na Lorient ambako alicheza Ligue 1. Mnamo Juni 2016 alijiunga na Borussia Dortmund.

Guerreiro aliwakilisha Ureno kiwango cha juu, akionekana kwanza mwaka wa 2014. Alikiwa katika kikosi chao katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 na Euro 2016,na kushinda mashindano hayo ya mwisho.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raphaël Guerreiro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.