Quincy Promes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Quincy Promes

Quincy Anton Promes (alizaliwa 4 Januari 1992) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji wa klabu ya Hispania iitwayo Sevilla na timu ya taifa ya Uholanzi.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Sevilla[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 31 Agosti 2018, Promes alijiunga na La Liga katika klabu ya Sevilla kwa mkataba wa miaka mitano (5). Hatua hiyo iliripotiwa ni gharama ya 20M, ambayo ni mauzo ya rekodi ya klabu ya Spartak Moscow.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Quincy Promes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.