Nenda kwa yaliyomo

Promethi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Promethium)

Promethi (Promethium) ni elementi ya kimetali yenye alama ya Pm na namba atomia 61, maana yake kiini cha Promethi kina protoni 61 ndani yake. Uzani atomia ni 147.

Ndani ya jedwali la elementi imepangwa kati ya lanthanidi. Isotopu zake zote ni nururifu. Promethi na Tekineti ndizo elementi mbili nururifu za pekee ambazo ni nyepesi kuliko risasi.

Promethi inatokea kiasili kwa viwango vidogo sana kama tokeo la mbunguo nururifu wa urani, jumla ni kama gramu 500 kote duniani. viwili tu vya mionzi chini ya risasi. Prformum nyingi hutolewa bandia. Prasetum iliyo hai kwa muda mrefu ni 145 Pm, na maisha ya nusu ya miaka 17.7.

Promethi iligunduliwa Marekani mwaka 1945 na kupewa jina kwa kumbukumbu ya mungu wa Kigiriki Prometheus.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Promethi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.