Pikipiki za majini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Pikipiki.

Pikipiki ya majini ni chombo cha kisasa ambacho kinatumia mafuta na ambacho hutumika hasa kwenye maji.

Pikipiki hizi hutumika hasa kwa michezo na burudani, si kwa usafiri, na mara nyingi hupatikana pembezoni mwa bahari na maziwa makubwa.

Kuna aina mbili za pikipiki ikiwemo hii na nyingine ni pikipiki ambayo hutembea barabarani: hizi hutumika na watu tofautitofauti kwenye ardhi tu. Katika nchi zinazoendelea, pikipiki zinachukuliwa kuwa za matumizi kwa sababu ya bei za chini na uchumi mkubwa wa mafuta. Kati ya pikipiki zote duniani, 58% ni katika Asia-Pasifiki na Kusini na Mashariki mwa Asia, isipokuwa Japan ya kati.