Nenda kwa yaliyomo

Petro Kasui Kibe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petro Kasui Kibe, S.J. (15874 Julai 1639) alikuwa padri Mjesuiti na mfiadini wa Kikristo kutoka Japani.

Akiwa hai katika karne ya 17, Petro alikuwa miongoni mwa Wajapani wachache waliotembelea miji mikubwa ya magharibi, kama vile Roma na Yerusalemu.

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 24 Novemba 2008.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.