Pepe-Kalle
Mandhari
Pepe-Kalle | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Pepe Kalle | |||||
Imetolewa | 1989 | ||||
Imerekodiwa | 1988-1989 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Afro-Rythmes (Ufaransa — CD, LP, Cassette) | ||||
Wendo wa albamu za Pepe Kalle | |||||
|
"Pepe-Kalle" ni albamu iliyotoka mwaka 1989 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu basi. Hii ni albamu ya tano ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baada ya Soucis Ya Likinga, Kwasa Kwasa, Moyibi na L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur!.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- Cé Chalè Carnaval
- Djoni Bitoto
- Tiembe Raid Pa Moli
- Ndako Ya Zeke
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Pepe-Kalle katika wavuti ya Discogs.