Moyibi
Mandhari
Moyibi | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Pepe Kalle | |||||
Imetolewa | 1988 | ||||
Imerekodiwa | 1987-1988 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Syllart Production, Syllart Records | ||||
Wendo wa albamu za Pepe Kalle | |||||
|
"Moyibi" ni albamu iliyotoka mwaka 1988 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo sita. Hii ni albamu ya tatu ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baada ile ya Kwasa Kwasa. Baadhi ya matoleo katika muundo tofauti—moja—wapo lilitolewa nchini Zambia. Hii ni albamu ya kwanza kushirikiana na Nyboma.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- Moyibi
- Amour Perdu
- Eve Matoko
- Nina
- Likambo
- Près Du Coeur
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Moyibi katika wavuti ya Discogs.