Kwasa Kwasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwasa Kwasa
Kwasa Kwasa Cover
Studio album ya Pepe Kalle
Imetolewa 1987
Imerekodiwa 1986-1987
Aina Soukous
Lebo Leader Records (4) ‎– REPRO 01
Wendo wa albamu za Pepe Kalle
"Soucis Ya Likinga"
(1986)
"Kwasa Kwasa"
(1987)
"Moyibi"
(1988)

"Kwasa Kwasa" ni albamu iliyotoka mwaka 1988 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu, mbili upande A na mbili upande B. Hii ni albamu ya pili ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baada ile ya Soucis Ya Likinga.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  • A1 - Nzoto Ya Chance
  • A2 - Zangano
  • B1 - 8000 Km
  • B2 - Lolo

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]