L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur!

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur!
L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur! Cover
Studio album ya Pepe Kalle
Imetolewa 1988
Imerekodiwa 1987-1988
Aina Soukous
Lebo Gefraco (Ufaransa — CD), CBS (Kenya — LP)
Wendo wa albamu za Pepe Kalle
"Moyibi"
(1988)
"L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur!"
(1988)
"Pepe-Kalle"
(1989)


"L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur!" ni albamu iliyotoka mwaka 1988 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo sita — moja ikiwa vyombo vitupu. Hii ni albamu ya nne ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baada ya Soucis Ya Likinga, Kwasa Kwasa na Moyibi. Baadhi ya matoleo katika muundo tofauti mojawapo lilitolewa nchini Kenya.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  1. L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur
  2. Bolimbisa
  3. Ami Ya Bomuana
  4. Vengi
  5. Famo
  6. Famo (Instrumental)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]