Pashupati Sharma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pashupati Sharma akitumbuiza

Pashupati Sharma (alizaliwa Putalibazar Manispaa ya Kata ya Nambari 3 ya Wilaya ya Syangja, 31 Oktoba 1982) ni mwimbaji wa nchini Nepal.

Sharma alihamia Kathmandu mnamo 2003 kwa ajili ya masomo yake, huku akiwa na nia ya kuimba. Alianza kuimba huko Saptakoshi Dohori Sanjh na alitoa wimbo wake wa kwanza rasmi mnamo mwaka 2003. Sharma tayari ameimba zaidi ya nyimbo 200 wakati wa utumishi wake. Nyimbo zake zinahusu uzalendo, upendo na huzuni. Moja wapo ya wimbo wake mpya Lutna Sake Lut. Mnamo 2018 alitoa wimbo wa "Chhata harayo" akiwa na Devi Gharti Magar. [1][2][3][4][5][6]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Tuzo za Picha za Wimbo Bora wa Dohori [7]
  • Tuzo ya Muziki ya Redio Kantipur kwa Mwimbaji Bora [8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "लोकसंगीतको खानीमा हुर्किएँ : पशुपति शर्मा". Naya Patrika (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 April 2020. Iliwekwa mnamo 28 April 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "On the road less travelled". kathmandupost.com. 
  3. "Following threats, popular folk singer Sharma pulls video from YouTube". kathmandupost.ekantipur.com.np. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-28. Iliwekwa mnamo 2023-04-01. 
  4. "Folk singer Pashupati faces YAN music for satirical song". The Himalayan Times. 18 February 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 February 2019. Iliwekwa mnamo 27 April 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. "Pashupati Sharma: Satire is not meant to be taken literally – OnlineKhabar". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 April 2020. Iliwekwa mnamo 27 April 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. पराजुली, रमा. "'लुट्न सके लुट्...' गायकले हटाए पनि युट्युबमा छ्यापछ्याप्ती", BBC News नेपाली, 19 February 2019. (ne) 
  7. "CS : CyberSansar.com – 'Only Love' sweeps 13th Image Award". www.cybersansar.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 April 2020. Iliwekwa mnamo 28 April 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  8. "Radio Kantipur organises National Music Awards 2078". kathmandupost.com (kwa English). Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pashupati Sharma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.