Devi Gharti Magar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Devi Gharti Magar

Devi Gharti Magar ni mwimbaji kutoka nchini Nepal. Alizaliwa katika kijiji cha Ramuwa katika Wilaya ya Bagung nchini Nepal. Aliolewa na Raju Dhakal mwaka 2008. Alichaguliwa mwanachama mkuu wa "Lok Dohor Pratisthan" (Folk Duet Academy) mwaka 2019.

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • Badala Barilai – solo
  • Banki Chari - Arjun Sapkota[1][2]
  • Ma Ta Aaune Thina Yehi Chal hola Vanya Bha – with Shirish Devkota
  • Lauri harayo – Pashupati Sharma[3]
  • Rudai Fulyo Makhmali –Badri Pangeni
  • Syangja Hudai Baglung Bazara – Raju Pariyar
  • Fulma Mauri Dulne Belama – Raju Pariyar
  • Jimmal ba ko Aaganima – Kulendra Bishwokarma
  • Uhi kholima paani – Rajan Gurung
  • Hasna sikayeu – Kulendra Bishwokarma
  • Najarai ko Bhara – Shirish Devkota
  • Herna oi Batuli – Pashupati Sharma
  • Jhalko lali oth ko – Milan Lama
  • Gham bhanda ni junko – Bishnu Khatri
  • Ke khanxeu kamala - Parjapati Parajuli

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Banki Chari". 
  2. "Banki Chari". osnepal. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-10. Iliwekwa mnamo 2023-04-02. 
  3. "Lauri harayo". saurahaonline.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-23. Iliwekwa mnamo 2023-04-02. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Devi Gharti Magar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.