Orodha ya lugha za Malawi
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Malawi:
- Kiafrikaans
- Kiingereza
- Kikachi
- Kikokola
- Kilambya
- Kilomwe cha Malawi
- Kindali
- Kinyakyusa
- Kinyanja
- Kinyiha cha Malawi
- Kinyika
- Kisena cha Malawi
- Kitonga
- Kitumbuka
- Kiyao
- Kizulu