Kinyiha ya Malawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinyiha cha Malawi)
Jump to navigation Jump to search

Kinyiha cha Malawi ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Wanyiha. Isichanganywe na Kinyiha cha Tanzania wala na Kinyika. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinyiha cha Malawi imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyiha cha Malawi iko katika kundi la M20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyiha ya Malawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.