Nenda kwa yaliyomo

Kindali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindali (au Chindali) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wandali. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kindali nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 150,000. Pia kuna wasemaji 70,000 nchini Malawi (2003). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindali iko katika kundi la M20.

Mfumo wa Sauti (Fonolojia)

[hariri | hariri chanzo]

Lugha ya Kindali ina irabu 5 na konsonanti 21. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Botne, Robert. 1998. Prosodically-conditioned vowel shortening in Chindali. Studies in African linguistics, 27 (1), uk.97-121.
  • Swilla, Imani M. 1981. The noun class system and agreement in Chindali. In: La civilisation des peuples des Grands Lacs: colloque de Bujumbura, 4-10 séptembre 1979, uk.379-393. Paris: Éditions Karthala pour la Centre de Civilisation Burundaise.
  • Swilla, Imani M. 1998. Tenses in Chindali. Afrikanistische Arbeitspapiere, 54, uk.95-125.
  • Swilla, Imani M. 2000. Borrowing in Chindali. Katika: Lugha za Tanzania/Languages of Tanzania: studies dedicated to the memory of Prof. Clement Maganga (CNWS publications, no 89), uk.297-307. Kuhaririwa na Kulikoyela K. Kahigi, Yared M. Kihore & Maarten Mous. Leiden: Research School of Asian, African and Amerindian Studies (CNWS), Leiden University.
  • Swilla, Imani M. 2000. Names in Chindali. Afrikanistische Arbeitspapiere, 63, uk.35-61.
  • Vail, Hazel Leroy. 1972. The noun classes of Ndali. Journal of African languages (London), 11 (2/3), uk.21-47.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.