Kisena cha Malawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisena cha Malawi ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Wasena. Isichanganywe na Kisena kizungumzwacho nchini Msumbiji. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisena cha Malawi imehesabiwa kuwa watu 270,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisena cha Malawi iko katika kundi la N40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisena cha Malawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.