Nenda kwa yaliyomo

Kilomwe cha Malawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilomwe cha Malawi ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Walomwe. Hakielewekani na Kilomwe cha Msumbiji. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilomwe cha Malawi imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilomwe haiainishwi kwa vile ni mchanganyiko wa lugha ya Kinyanja ambayo iko katika kundi la N30 na wa lugha ya Kimakua ambayo iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilomwe cha Malawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.