Onyinyechi Zogg
Mandhari
Onyinyechi Zogg
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Uswisi, Nigeria |
Nchi anayoitumikia | Nigeria |
Jina halisi | Salome, Onyinyechi |
Jina la familia | Zogg |
Tarehe ya kuzaliwa | 3 Machi 1997 |
Mahali alipozaliwa | Bern |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijerumani, Kiingereza, Nigerian Pidgin |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Beki |
Mwanachama wa timu ya michezo | Nigeria women's national football team, FC Zürich |
Eye color | dark brown |
Rangi ya nywele | black hair |
Mchezo | mpira wa miguu |
Onyinyechi Salome Zogg (alizaliwa 3 Machi 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Zürich FC kwenye ligi ya Super League nchini Uswisi na timu ya taifa ya Nigeria.[1][2][3]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Zogg alizaliwa na kukulia huko Bern. Baba yake ni Mswizi na mama yake ni Mnaijeria.[2][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ , soccerway, retrieved 19 June 2021
- ↑ 2.0 2.1 "Onyinyechi Zogg". FC Zürich (kwa Kijerumani). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-28. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Onyinyechi Zogg Lifestyle and Net Worth". Uzomedia TV. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Onyinyechi Zogg - Women's Soccer". Monroe College Athletics. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Onyinyechi Zogg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |